252 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 29 Oct 2026
7:19
araza la Mawaziri la Rais William Ruto linakabiliwa na changamoto kuhusu utekelezaji wa sharti la uwakilishi wa jinsia. Je, hatua gani zinaweza kuchukuliwa kuhakikisha baraza linazingatia matakwa ya Katiba?