65 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 29 Oct 2026
15:01
Haijalishi unapitia hali gani maishani, usiache kumshuhudia Bwana. Hata katikati ya changamoto, imani yako na jinsi unavyoishi vinaweza kuwafanya wengine wamjue Kristo. Endelea kuwa ushuhuda wa wema na ukuu wa Mungu