11 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 29 Oct 2026
1:06
Changamoto tunazopitia zinaweza kuwa fursa ya kuonyesha ukuu wa Mungu na kuwafanya wengine wamjue Yesu Kristo kupitia ushuhuda wa maisha yetu. Endelea kuwa na imani, hata katika magumu.