Daraja bovu kaunti ya Trans Nzoia kutishia maisha ya wakaazi haswa wajawazito

  • | K24 Video
    Daraja bovu Trans Nzoia, wakaazi haswa wajawazito waghadhabishwa na daraja hiyo na wengi wao walazimishwa kuzalia nyumbani