Ripoti ya BBI kupokewa na Rais na kinara wa ODM

  • | K24 Video
    Hisia tofauti zimeendelea kuzuka saa chache tu baada ya upokezi wa Ripoti ya BBI. Naibu Rais, William Ruto, asema yuko tayari kuupigia upatu ripoti hiyo iwapo itajumuisha wakenya wote