Uchapishaji wa karatasi za mitihani changamoto shuleni kutokana na kudorora kwa uchumi

  • | K24 Video
    Huku wanafunzi katika shule za msingi wa darasa la nne wakianza majaribio ya mtihani wao hii leo, walimu wanaeleza kukumbwa na changamoto si haba katika kuchapisha karatasi za mitihani kwani wanapokea mitihani yote kupitia njia ya kiteknologia,kinyume na ilivyo desturi