Shule mbili mjini Mombasa zafungwa kutokana na ongezeko ya msambao wa Corona shuleni

  • | K24 Video
    Janga la virusi vya Corona sasa linaonekana kuwa katika awamu ya pili ya mlipuko huku wakaazi wa Kaunti ya Mombasa wakielezea hofu ya msambao wa virusi hivyo. Shule mbili tayari zimefungwa mjini Mombasa kutokana na msambao wa virusi hivyo shuleni.