
40 views
Rachael Wainaina, CEO wa Youth Film Platform Africa na Film Village of Kenya, azungumzia uwezo wa sekta ya filamu kusimulia hadithi za wataalamu kutoka nyanja mbalimbali duniani. Je, filamu inaweza kuwa jukwaa la kuonyesha vipaji, ujuzi na mchango wa wataalamu katika jamii?