This video is no longer available on YouTube. You can still watch more from the same artists below.

2,567 views
2 Apr 2019
#JerrieJesh #AmaniKenya #NgommaMugithi Wimbo huu, madhumuni yake ni kuleta amani umoja na utangamano katika taifa letu Kenya, na hususan miongoni mwa jamii na uongozi wa taifa. Kenya Tunataka amani na sio vita. Vita husababisha maafa, hupelekea hasara Kubwa, na huhujumu uchumi wa taifa, na hivyo basi, kugandamiza na kudororesha maendeleo. Amani huvurugika haswa wakati wa uchaguzi, na kwa kiwango kidogo miongoni mwa jamii zinazozana. Tunawahubiria Wakenya wadumishe amani, na kuwasuta viongozi kukomesha siasa za majungu na migawanyiko, kukumbatia na kueneza amani Kenya. Barikiwa. Jina langu ni Jerrie Jesh ©2018 Administered by Ngomma VAS Limited.