
429,419 views
Heroes of Faith Ministers Mombasa
24 Jun 2018
Courtesy HOPE PRODUCTIONS +254700519844 Psalms 137:1-4 1)Kando ya mito mito ya Babeli ndiko tulikoketi tukiwa mateka na tukalia tulipokumbuka Zayuni Katika miti iliyokati yake tulivitundika vinubi vyetu ingawa waliotushika walihitaji nyimbo za Zayuni Chorus Kamwe hatungeweza kuimba wimbo wa Mungu tena wa washindi katika nchi, nchi ya ugeni Kwa wasio mjua Mungu 2)Mungu muumba tunakulilia Kwa kuwa dhambi zetu zimetulemea tumeshakuwa mateka wa muovu shetani uturehemu utusamehe dhambi (zetu) ukaturudishe Zayuni kwetu ili tukaimbe Kwa shangwe wimbo wako na tukafurahie