
6,153 views
5 Apr 2018
Geraldine Oduor - Mungu Mkuu (Official Music Video) Audio - Produza Paulo Video - Tiger Channel administered by @NgommaVas LYRICS Wewe ni Mungu Mkuu Ukuu wako wapita fahamu yangu Bwana Hakuna Mshauri wako Hakuna Mwalimu wako Nikulinganishe na nani Baba? Nikufananishe na nani Yahweh? Wewe ni Mungu Mkuu' Wewe ni Mungu Mkuu! Ukuu na uweza ni wako Utukufu wote na enzi zote Mwenye hekima yote ni wewe Heshima na adhama iko mbele zako Utajiri na heshima ni kwako Nawe watawala juu ya vyote Uliyepima maji kwa mkono wako Na kuzikadiri bingu kwa shubiri baba Maarifa yako yanishindaa Baba... Unayeketi juu ya duara ya dunia Na kuzikunjua bingu kama hema Huwapa wenye njaa chakula chao Na kuwafungua waliofungwa. Huwafungua macho waliopofika Na kuwainua walioinama Unayeshika vumbi katika pishi Milima yote kwa uzani wako Wewe. Maarifa yako ni ya juu...