
20,267 views
3 Jul 2017
Geraldine Oduor - Mwana Kondoo LYRICS Bwana wastahili.... Bwana wastahili Bwana wastahili... Mwana kondoo wa Mungu, Uliyechinjwaa Tunajinyenyekeza mbele zako Magoti tunapiga, tukisujudu Ni wewe peke yako, wastahili ¹]. Njooni sote tumwabudu Tumsujudu Magoti tunapiga pale mbele zake... Maana yeye Mungu wetu, aliyeniumba mimi, Na sisi watu wa malisho yake, kondoo zake.... (Sina Mungu mwingine Ila ni wewe baba Wengine wote ni sanamu Ni wewe pekee) ×2 ²]. Miungu yote yamsujudu Ametukuka... Maana yeye ndiye Bwana aliye juu Yeye ametamalaki ulimwengu wote.. Mataifa watetemeka Wakimtukuza (Sina Mungu mwingine... Ila ni wewe baba Wengine wote ni sanamu... Ni wewe pekee mtakatifu) ×2 ³]. Ni wewe baba wastahili utukufu Mwana kondoo wa Mungu Unastahili utukufu na heshima, Mwana kondoo wa Mungu... Tunakuabudu, kuinua, kusifu.. Mwana kondoo wa Mungu... Twakuheshimu, unastahili, Baba mwana kondoo wa Mungu... Heshima na sifa ni zako baba Umeketi kwenye kiti cha enzi, Mwana kondoo wa Mungu, Tunaimba.. tukisema... wastahilii [Bwana Wastahili] Mmmmmmm [Jehovah wastahili] Mmmmmmm ×2