
18,196 views
14 Jun 2017
Geraldine Oduor - Nainama Audio by - Bwenieve Song Written by Geraldine Oduor #Lyrics.... "Nina inama mbele zako Nikisema wastahili Bwana Umeketi kitini cha enzi Kilicho juu na kuinuliwa sana Mtakatifu! Bwana wa majeshi Watu wote na watambue Utukufu wote ni wako!" (Bwana umeketi katika kiti cha enzi Kilicho juu sana na kuinuliwa sana Na pindo za vazi lako limejaza hekalu Umetukuka juu Umetukuka juu Umetukuka juu sana) Bwana wangu umetamalaki Umekaa juu ya Makerubi Umetukuka juu ya miungu yote Sauti yako inaogofya sana Linapiga jeshi la adui Ishara zako ni kubwa sana Mawingu yote ni gari lako Upepo wote ni mabawa yako Nakuabuudu. Nakuabuudu Baba Nakuabuudu... Nainama mbele zako wowowo...