
13,187 views
29 Jul 2016
Artist: Geraldine Oduor Song Title: Nitakuimbia Audio Produced By: Gamba Video Directed By: Tiger #Nitakuimbia LYRICS Exodus 15 (WIMBO WA MUSA) Nitamwimbia Bwana wangu, ametukuka sana Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu, amekuwa wokovu wangu Yeye ni Mungu wangu, nitamsifu milele Yeye ni mwamba wangu, namtukuza milele Eee Bwana, katika miungu, Ni nani aliye kama wewe? Mtukufu wa watakatifu, Ni nani aliye kama wewe? Wa kuogopwa kwa sifa zako, Ni nani aliye kama wewe? Wewe ni Bwana, wa mabwana... Kwa upepo wa pua yako, maji yalipandishika, mawimbi yakasimama wima, vilindi vikagandamana. Maadui waliponifuata, ulivuma kwa upepo, bahari ikawafunikiza, wakazama kama jiwe..