
2,612 views
5 Feb 2020
#GABUGUSTO#TREND#NgommaKenyansong Channel Administered by Ngomma VAS Limited. ©2020 #lyrics ↓↓ chorus.. Napita na meter ya mtaa kuipa millimeter, Napitia meter kadhaa naitishwa mamita, juu ni mamacita, Dame ameiva, hio mueke i trend!! anatrend kama ng'ang'a, dame anajulikana, hio mueke i trend!! anatrend kama ng'ang'a kunavile anagawa, hio mueke i trend!! verse..1 420 tuko wengi ka meeting ya nyumba kumi, form ni Betty saka keja ama atasema hakuji, mafans ni wengi ka bags za njugu Nyamakima, dish ni ndunya na supu ya mama pima, leo sidai kunye kunavile nadai kuzima, maji imekatika ni ka ilikuwa inapump pia stima, gizani anapenda kutenda ushirikina nimdeadly! ey! siezi jizuia... chorus.. Napita na meter ya mtaa kuipa millimeter, Napitia meter kadhaa naitishwa mamita, juu ni mamacita, Dame ameiva, hio mueke i trend!! anatrend kama ng'ang'a, dame anajulikana, hio mueke i trend!! anatrend kama ng'ang'a kunavile anagawa hio mueke i trend!! verse..2 kuna vile anagawa, kila sika imekuwa ni dawa, ukihang na mabawa, gabriel moto atazima, dj chachisha nikukatika kujipima, chunga poll ya stima transformer italipuka, hadi saa tisa jogoo akiamka kutawikwa, cheza na mwiko nikama pilau inapikwa, ambia pole jirani leo mate itatiririkwa, kuna poles kejani i hope elections utapita, chorus.. Napita na meter ya mtaa kuipa millimeter, Napitia meter kadhaa naitishwa mamita, juu ni mamacita, Dame ameiva, hio mueke i trend!! anatrend kama ng'ang'a, dame anajulikana, hio mueke i trend!! anatrend kama ng'ang'a kunavile anagawa, hio mueke i trend!! always on the pen ninagrind kama blender, kama unataka juice ninacome na kila flavor, call whenever i'll be landing on propellers, addicted nikama ni vela, mziki inawateja, tunawatibu na mahewa, nasija chezwa kila keja, nabado ninasema niko wera, nikisaka hela (echo) Father give favors, chorus.. Napita na meter ya mtaa kuipa millimeter, Napitia meter kadhaa naitishwa mamita, juu ni mamacita, Dame ameiva, hio mueke i trend!! anatrend kama ng'ang'a, dame anajulikana, hio mueke i trend!! anatrend kama ng'ang'a kunavile anagawa, hio mueke i trend!! Vj Flankah Ent. Prod Wes ( RealmeRecords). Musah Arts BCT Deliveries Chef Danco. Jeff & Alex WideLink. Barbie Spice. #ngomma #gabugusto #trend