
54 views
Dkt. Catherine Nyongesa anazungumzia saratani ya matiti, dalili zake na umuhimu wa kugundua ugonjwa huo mapema. Pia anafafanua kuhusu saratani kwa wanaume, athari za kuchelewa kupata matibabu na jinsi matibabu ya wakati yanavyoweza kuokoa maisha. Anahimiza jamii kuondoa unyanyapaa, kujikubali na kutafuta msaada wa kitabibu wanapogundua mabadiliko yasiyo ya kawaida mwilini.