
19,448 views
14 Jun 2019
#MAMA Lyrics VERSE 1 Mama c unaelewa jinsi navyo kupenda, Na tena nitazidi kukuombea mema, Kwenye shida na raha, Me najua hutowai nitema, Iwe Leo na kesho, Mwanao nitazidi kuji tuma, Aii... BRIDGE Ulini beba mgongonii eeeh eeh [Mama] Ukanifunza utotoni eeeeh eeeh [ukani dekeza]×2 CHORUS (Simama simamaaaa Simama wakuonee eeh)×4 VERSE 2 Kama mjini bado nakazana, Ili mradi tupate dona, Japo kua wanakutukana, Ila kwangu utabaki mama, Kama mjini bado nakazana Ili mradi tupate dona Japo Wengi wanakutukana Ila kwangu utabaki mama BRIDGE Ulini beba mgongonii eeeh eeh [Mama] Ukanifunza utotoni eeeeh eeeh [ukani dekeza]×2 CHORUS (Simama simamaaaa Simama wakuonee eeh)×4 Achana nao wanao kutukana Achana nao wanao kudharau Achana nao wanao Sema Sema mama aaah×2 Bridge CHORUS Song written by ENOS RAJI PRODUCER_ VICKY PONDIS VIDEO_BOYP Sponsored by_ world plastic Co. Ltd