
1,435 views
20 Jun 2025
"Tuko Zone" by Josephyl, @cjayslim & @MtipaTv Stream: https://blackmarket.lnk.to/tukozone #tukozone #josephyl #cjayslim #mtipa Tuko zone na mambom si ndio zile bulls ziko mabighorns Mali safi fanya rong Makejani nikicheza hit song (×2) wameutuita sanction juu ya ku mada beat hao ni ma mbwa Koko na bado wamefungwa lish tuko kwenye mission ka kikosi ya elite dwanzi anatema shida ni eti anaglich Wana act tough lakini najua ni ma snitch, nilimtekea bitch rahisi siku risk nilimpea steam aliinyonya adi kwa tip, boys ni G ukiyap unatii, Luku diriba mpaka wanadai mimba Nigga ameparara na bado anadai vita Dem wake daily anatext anadai kichwa hamanaga kissmart juu ya ki kiss ass Nimekafunga kaa kafuli mapenzi aezi fanya ati me s kuli vimuli muli ukicheza na hao wahuni tunasafisha hata kuliko sabuni madrama mingi kama za movie achana na mmi kama unaskia nakuudhi me upiga fiti ex anaskianga kurudi ako kwa soko vile amebeba magoodie luku ni gucci njuguu kwa uji me ukindiss unaenda home ukiwa uchi ber bouchie ngwai za luchi ye unipikia makejani akiwa uchi [ verse Josephyl] Mbogi Isha kua most wanted vybes Kam ka zaa kartel Apa doo Dunda na percent zoza tokea kwa garget Mistari mingi kama garzel Uscheze brathee Na tuko marima zote nani anahuss choche Ati ati ati bigi man magizani pastor nama Mizani Dedi upatikani vunjwa nausimami Leta kisirani MI ko na misumari Kidevu ni uzani njeve huku uzangii Ringa sana minko na mamizinga Bana Na feel naweza stager. Swezi lalia mschwani Na ukinipara Bana ahhh MI naeza kumerder Kuku we ni kifaranga mtipa ndo Ile ya mbaba Tuko zone na mambom si ndio zile bulls ziko mabighorns Mali safi fanya rong Makejani nikicheza hit song (×2) Tuko Zone 3 Piece; https://drive.google.com/drive/folders/125zW0l95S1ZF_Utc40u0CYI51VyaozDQ?usp=drive_link ANYTHING YOU SEE ON THIS VIDEO IS PROPS