
1,035 views
13 Feb 2019
Wimbo wa uzalendo kuhusu Kenya.Kenyan patriotic song composed after the peaceful elections in 2013. Its a prayerful song expressing gratitude to God for the peace and calling on Kenyans to be proud of our nation , be patient and work together in love and unity. TWAJIVUNIA KUWA WAKENYA LYRICS Twajivunia kuwa Wakenya Taifa letu tukufu Bendera yetu tuipeperushe Ya undugu na amani Asante Mungu kutusikia Asante Mungu kutusamehee Asante Mungu Kuponya Kenya Sasa sisi ni Kenya Mpya Chorus Watu wa Kenya wa nia moja Watu wa Kenya wa umoja Twajivunia Kenya yetu Asante Mungu kwa amani Nawaombea wananchi wote Tuzidi kuwa na lengo moja Tusimame pamoja kwa upendo Kenya yetu ibarikiwe Wewe na mimi ndio musingi Wa taifa letu tukufu Tukiwacha chuki na ukabila Kenya itaenda mbele Chorus Yaliyo pita tuyasahau Safari yetu ni kwenda mbele Mungu twaomba utuongoze Safarini tuwe watulivu Chorus interlude Chorus Asanteni Wakenya wazalendo. Mungu atuongoze tulinde taifa letu pamaja kwa amani. This song was composed, written and sung by Dorothy Mulanda
