
2,439 views
7 May 2022
Lyrics Ninapo amuka asubui na jikuta na afia Njema nali sifu jina lako nikisema wewe ni mwema eyi ninapo tembea watu wengi wana fariki lakini mimi ni ngali muzima na lisifu jina lako ! Uko mwema baba! Ni njema kwangu ku sema unastahili kwakuwa ume ifazi maisha yangu nime fata njia zako oh na zime nibadili machozi yangu wa panguza vita viangu wa pambana uzuni zangu wa rejesha furaha oh oh oh! Kila asubui ime kuwa furaha kwa moyo wangu kwa uzuri wako na kwa upendo wako wangapi wali fariki wangapi ni wa gonjwa wangapi wangapi wa ngapi Eh eh ! Uko mwema baba ! Sina haja ya pesa ili ni mu shukuru Mungu kwani neno la sema, kila mwenye pumzi amusifu Mungu Maana fazili zake ni za milele, usiwe na moyo waku laumu maana niwengi ndio wange tamani wakuwe ginsi ulivio wewe sema asante, asante eh asubui sema asante, jioni sema asante , saa zote sema asante eh eh eh! Heeeee Yelele Nana nana Jesus, Jesus my God i bless you today, I worship you God, I bless your name, you are my lord, Nyamuzinda (Mighty God)! Ninapo amuka asubui na jikuta na afia Njema nali sifu jina lako, I’ve only one desire, to worship you everyday, to give you praise whenever, wherever, Jesus Christ, Nobody is greater that your name Jesus My Gog uh! I bless your Name Eh! Facebook : https://web.facebook.com/danielmparanyi Instagram: https://www.instagram.com/daniel_mparanyi/ Twitter: https://twitter.com/DanielMparanyi Tiktok: https://www.tiktok.com/@danielmparanyi?lang=en Audio mix and Mastering : Daniel Mparanyi Video: Guems Solo Guitar: Ben Mparanyi Bass Guitar: Israel Maonero
