
2,332 views
29 Apr 2022
May this hymn bless your soul. NZK NO. 170. Song Title: Sitafuti Mali Artist: Gordon Kogalloh GK Audio: Heartlens Records Video: Salem Pixels #GordonKogallohGk #HeartlensRecords #SalemPixels 170 - Jina Langu Limeandikwa Je? "Lord I Care Not For The Riches" 1. Sitafuti mali, wala utajiri; Nataka kwa yakini nipate Mwokozi. Chuoni mwa Ufalme, niambie Yesu, Jina langu yakini limeandikwa, je? Chorus Limeandikwa, je? Jina langu huko? Kitabuni mbinguni, limeandikwa, je? 2 . Dhambi zangu ni nyingi, ni kama mchanga, Lakini damu yako, Mwokozi, yatosha; Kwani umeahidi: zijapo nyekundu Zitakuwa nyeupe ilivyo theluji. 3. Mji mzuri sana, wa majumba makuu, Walipo malaika, mji bila ovu; Wakaapo walio na mavazi safi, Limeandikwa sasa, jina langu huko?