
5,728 views
20 Jun 2025
1. Tumekusanyika siku ya leo ili tumuabudu Mungu - Majamaa marafiki watu wazima,watoto kwa ujumla - Nao watajenga Nyumba, na kukaa ndani yake wiki nzima, watapanda mizabibu na kula matunda yake, kwani tuko kwenye kambi ×2 Wewe uuhubiriye Sayuni habari njema panda juu ya mlima mrefu. Paza sauti kwa nguvu,usiogope waelezeni ni takatifu makambi ya Mungu -e-e-e Yesu! Aliye mbinguni juu- Ainuliwe - 2. Mahubiri ni matamu! Vile vile mafundisho uimbaji,uchambuzi wa Bibilia,yote ni kwa utukufu wake - Baada ya hayo tunarudisha shukrani- umetuvusha toka mwaka ulopita Sasa tuko kwenye mwaka mpya tushangilie makambi- ×2 Details. Youtube - Amenministerskenya. Email- amenministers7@gmail.com Contacts- 0727096439 - Secretary General 0727011430- Chairman #trendingsongs #bestSDAsongs #254 #luosongs #livemusic #amenministers #trendingchallenge #gospelchoirs #choirs #tanzania #Kenyasda #Niacheni Niimbe #hopechanelkenya #gospelmusic