
34 views
Davji Atella, Katibu Mkuu wa KMPDU, anazungumzia juhudi zake za kuimarisha sekta ya afya katika eneo la Lang’ata. Anasema amekuwa akihakikisha masuala yanayohusu huduma za afya yanapewa kipaumbele ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.