
59 views
Davji Atellah, Katibu Mkuu wa KM-PDU, anasema Kenya umefika wakati wa kuachana na siasa za kauli mbiu na badala yake kuzingatia masuala yanayogusa maisha ya wananchi. Anasisitiza umuhimu wa viongozi kuweka mbele sera, mipango madhubuti na utekelezaji unaoleta matokeo halisi kwa wananchi.