
26 views
Fedha za umma zinaonekana kutumika bila uwazi na uwajibikaji wa kutosha. Kwa nini karibu kila mradi wa serikali unapoibuka, kunakuwa na madai ya kuongezeka kwa gharama za utekelezaji? Kwa nini hakuna anayejitokeza hadharani kueleza kwa uwazi sababu za ongezeko hilo na kuhakikisha wananchi wanaelewa jinsi kodi zao zinavyotumika? Wananchi wana haki ya kupata majibu, si ahadi pekee.