
65 views
Ushuhuda wa nguvu na uaminifu wa Mungu! Baada ya kusubiri kwa muda mrefu bila kupata mtoto na kupitia changamoto ya kejeli, Mungu hakumsahau. Leo amebarikiwa na watoto wawili! Hakika wakati wa Mungu ni mkamilifu. Usikate tamaa, Mungu bado anatenda miujiza!