
69 views
Biashara ina changamoto na mafanikio yake. Gen Z Mama Fua anasema kuwa kila mfanyabiashara anapaswa kuelewa kuwa kuna siku nzuri na siku mbaya, na si kila siku italeta matokeo yanayotarajiwa. Muhimu ni kuwa mvumilivu, kujifunza kutokana na changamoto na kutokata tamaa hata mambo yanapokuwa magumu.