
73 views
Katika malezi ya mzazi mmoja, maswali ya watoto yanaweza kuibua mazungumzo magumu. Je, ni sawa kwa mtoto anayelelewa na mama asiye na mwenzi kumuuliza mama yake kuhusu alikopata mtoto mwingine? Je, mama anapaswa kujibu kwa uwazi au kuna mambo yanayohitaji umri na wakati mwafaka?