54 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 2 Nov 2026
7:16
Mahusiano na ndoa huhitaji upendo, uvumilivu na juhudi kutoka kwa pande zote mbili. Lakini unapojitahidi kila mara kuokoa uhusiano bila kuona mabadiliko, ni muhimu kutambua thamani yako na kulinda amani yako.