
8,548 views
15 Jun 2020
Tumaini Liko I Jobel Chorale I Directed by Evans TUMAINI LIKO 1.) Tumaini liko La thamani kuu, Kupita anasa tupu zake ulimwengu. 2.) Pana nyota nzuri: Nuru itoayo Kwetu wakati wa kifo Ndio ufufuo. 3.) Zikiumwa roho Na hofu, mashaka, Sauti hutuambia Mungu hutupenda. 4.) Kutoka Kalwari Sauti hunena; Nyota ni nuru ya mbingu, Tumaini letu.