454 views
Rhumba Republik on Radio Maisha
Aired 5 Nov 2026
35:42
Karibu katika Kenya Leo. Leo hii tuna wageni, Mwanaisha Chidzuga, Naibu Msemaji wa Serikali, na Joan Kanini, mchambuzi wa kisiasa. Leo tunazungumzia mustakabali wa taifa.