
4,344 views
29 Aug 2026
Roho yangu amka sasa, mara jitahidi, Shindano ni lake Bwana, zawadi ni taji. Sauti ni yake Mungu inayokuita, Ndiyo aliyekirimu, taji ya uzima. Mashahidi ndio wengi, wanaokuona, Ya nyuma usifikiri, bali mwendo kaza. Bwana umetuanzisha, katika shindano, Kwa vile tunaposhinda, ushindi ni wako. Dear friends and supporters of Jabali Chorale🔥 Thank you for this far you've stood with us follow us on all social media platforms share Jabali with friends and families subscribe and like✌️