
3,554 views
15 Apr 2025
NI SALAMA ROHONI MWANGU 1 Wakorintho 10:13 [13]Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili. There hath no temptation taken you but such as is common to man: but God is faithful, who will not suffer you to be tempted above that ye are able; but will with the temptation also make a way to escape, that ye may be able to bear it. JIPE MOYO HILO NALO LITAPITA Mhubiri 3:1,4 [1]Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu. To every thing there is a season, and a time to every purpose under the heaven: [4]Wakati wa kulia, na wakati wa kucheka; Wakati wa kuomboleza, na wakati wa kucheza; A time to weep, and a time to laugh; a time to mourn, and a time to dance;