
877 views
19 Dec 2024
TUA MZIGO WAKO MSALABANI Mathayo 11:28-30 [28]Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. [29]Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; [30]kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.