
978 views
9 Dec 2024
UKITUBU UTAUPATA WOKOVU Luka 1:77-79 [77]Uwajulishe watu wake wokovu, Katika kusamehewa dhambi zao. [78]Kwa njia ya rehema za Mungu wetu, Ambazo kwa hizo mwangaza utokao juu umetufikia, [79]Kuwaangaza wakaao katika giza na uvuli wa mauti, Na kuiongoza miguu yetu kwenye njia ya amani.