
2,324 views
2 Dec 2024
USIABUDU VITU HADALA YA MUNGU ALIYEUMBA VYOTE KWA AJILI YETU Mwanzo 9:2 [2]Kila mnyama wa katika nchi atawaogopa ninyi na kuwahofu, na kila ndege wa angani: pamoja na vitu vyote vilivyojaa katika ardhi, na samaki wote wa baharini; vimetiwa mikononi mwenu. Vitu havitufanyi.kuwa watu