
1,671 views
22 Nov 2024
USIJALI WAPITIA NINI MAISHANI JUA KWAMBA HILI NALO LITAPITA Yakobo 1:2-3 [2]Ndugu zangu, hesabuni ya kuwa ni furaha tupu, mkiangukia katika majaribu mbalimbali; My brethren, count it all joy when ye fall into divers temptations; [3]mkifahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi. Knowing this, that the trying of your faith worketh patience. UKILAUMIWA KWA AJILI YA INJILI YA YESU FURAHI 1 Petro 4:14-16 [14]Mkilaumiwa kwa ajili ya jina la Kristo ni heri yenu; kwa kuwa Roho wa utukufu na wa Mungu anawakalia. If ye be reproached for the name of Christ, happy are ye; for the spirit of glory and of God resteth upon you: on their part he is evil spoken of, but on your part he is glorified. [15]Maana mtu wa kwenu asiteswe kama mwuaji, au mwivi, au mtenda mabaya, au kama mtu ajishughulishaye na mambo ya watu wengine. But let none of you suffer as a murderer, or as a thief, or as an evildoer, or as a busybody in other men's matters. [16]Lakini ikiwa kwa sababu ni Mkristo asione haya, bali amtukuze Mungu katika jina hilo. Yet if any man suffer as a Christian, let him not be ashamed; but let him glorify God on this behalf. NENO LATUFUNDISHA KUANGALIA MAMBO YA WENGINE Wafilipi 2:4 [4]Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine. Look not every man on his own things, but every man also on the things of others.