
160,411 views
22 Feb 2014
Uchokozi kwenye MATATU watoka kona zote. Wanawake kwa wanaume. Dunia Imeharibika. Huwezi kujua uliyekaa nae kwenye MATATU au DALADALA ni Mwanamke au Mwanaume au jinsia zile nyingine zinazopigiwa debe na America. Imagine wewe ni Mwanaume na Umekaa na Mwanaume na anaanza kukuchokoza Utalia uite Polisi au Museveni ?