52,536 views
Munishi
21 Feb 2014
Ukristo ni Wajibu Lazima uwajibike. Usipowajibika Utawajibishwa na MATAPELI WA KIROHO. Hutaki kuomba Utaombewa Ulipe. Hutaki kusoma Neno Utasomewa uambiwe panda mbegu zisipoota shauri yako.