
58,382 views
10 Feb 2012
Duniani Magari ni mawili. Moja ni WOKOVU Liendalo Uzimani. La pili Dhambi Na Anasa za Dunia Liendalo KUZIMU. Wataka kwenda wapi? Utaingia Gari Gani? Ingia Gari La Yesu Ufike salama Mbinguni. La Shetani ni Motoni Milele. Uamuzi ni wako.