
652,067 views
10 Dec 2011
Mojashi Maktera Munishi Mwimbaji wa Nyimbo za injili ameitikisa anga ya Gospel Music kwa kishindo na wimbo wake usemao Shikamoo Baba. Ukiwa na vionjo kama vya Baba yake Munishi, wimbo huu utampeleka mbali Mojashi. Mungu ambariki kijana huyu.