
8,686 views
5 May 2011
Track Shikamoo Baba By Mojashi Munishi AnaitwaMojashi Maktera Munishi, wa kwanza katika familia ya Mchungaji Faustin Munishi, na hii ni CD yake ya kwanza. Kama neno la Mungu lisemavyo heshimu wazazi uate miaka mingi na kheri duniani, Mojashi ameanza kwa kuwasalimu wazazi, na ia kutaka ushauri wao katika masuala ya Injili na maisha kwa ujumla.