
834 views
5 Oct 2024
Track Name: Get (feat. Cessa Don) Artist: Sekoh IcG Beat: @lil.datchy & @jojaybless Mixed & Mastered: @lil.datchy For bookings & events email: sekohgeorge35@gmail.com INSTAGRAM https://www.instagram.com/sekohicg_ FACEBOOK https://www.facebook.com/sekoh.icg TWITTER https://twitter.com/sekohicg_ YOUTUBE @SekohIcG SPOTIFY https://open.spotify.com/artist/0zhDTK7uUS4T96dMkGomzu?si=AvEBFhP8TOylumE50VOY6Q APPLE MUSIC https://music.apple.com/ke/artist/sekoh-icg/1656444682 AUDIOMACK https://audiomack.com/sekohicg Ayee IcG Let's Go Undercover nikuget nikuget cheki wale boys wamerun to the left Me na Alee nikuset nikuset vako uku kwetu nikutafuta maweng Now nigga huniwezi you a pet you a pet Sure kama odi weka bet weka bet Kenye me nataka niko certain ntaiget Kenye me nataka niko certain ntaiget ayee Undercover nikuget nikuget cheki wale boys wamerun to the left Me na Alee nikuset nikuset vako uku kwetu nikutafuta maweng Now nigga huniwezi you a pet you a pet Sure kama odi weka bet weka bet Kenye me nataka niko certain ntaiget Kenye me nataka niko certain ntaiget ayee Look naipiga naifanya bado siko juu lakini nawabamba Nawaaim nawashoot nawamada lyrically ill fav wako ananigwaya Yoh ka Tinkler na ngada I'm a simple man na sipendi madrama Boy just ssshhh don't utter hapa huwezani unaeza check numbers (Uh) Guess what niko juu peleka hio shitty content to the loo (Uh) I'm in Timbuktu chillin' smokin' on some OG Kush Push na strive kucal hio move juu everyday ni day ya kujiprove Groove ukifeel na vibe kwa hii tune me nashoot for the stars nikiaim for the moon (Uh) Jina biggy yaani massive maestro me napeana maassist Teke teke nikimove tu politely ndio maopps wasijue my tactics All day in the streets niko active main aim saka hizo ganji Yes sir seti hio mali nikimedi na mathoughts za magari (Uh) On the low hamniwezi Me napiga wera nyi mkiwa lazy Dream clear haiwezi kuwa hazy On top on God hii ni crazy On the low hamniwezi Me napiga wera nyi mkiwa lazy Dream clear haiwezi kuwa hazy On top on God hii ni crazy Undercover nikuget nikuget cheki wale boys wamerun to the left Me na Alee nikuset nikuset vako iku kwetu nikutafuta maweng Now nigga huniwezi you a pet you a pet Sure kama odi weka bet weka bet Kenye me nataka niko certain ntaiget Kenye me nataka niko certain ntaiget ayee Undercover nikuget nikuget cheki wale boys wamerun to the left Me na Alee nikuset nikuset vako iku kwetu nikutafuta maweng Now nigga huniwezi you a pet you a pet Sure kama odi weka bet weka bet Kenye me nataka niko certain ntaiget Kenye me nataka niko certain ntaiget ayee Strong Don niko juu ni pesa ntarelate .. Small boy bila pressure nakuflex. Na uyo manze anazirusha ataniget. Anastay anataka kunisex. Man all day me ushinda nikiget. Na ukizua boy i swear utaregret. Usiku mchana nigga nikiblaze . Cheki hao wamerun to the left. Wanadai nawashinda to the bet. Ready lead uyo shawrie ananitext. Niko sure nikifika ntaiget.. Nikifika ntaiget .. Action ah niko ready for the set.. Grab my size miss naughty nikistep. Kapetit na uko nyuma kana steak. Stick to the plan nigga wacha kudegrade. Bro..piga high grade. Na hii side kua rada utajiseti Me na gang fom zetu ni deadly . Si ukam na wasupa wanamedi . Drip safi fom wako ready . Chill na uyu boy ndio ujue joh kukreki. Ndio ujue joh kukreki