96 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 9 Nov 2026
16:31
Prof. Peter Kagwanja azungumzia maringo ya uongozi na namna yanavyoweza kuwazuia viongozi kuona na kukubali ukweli. Je, viongozi wanapaswa kujifunza kusikiliza, kujitathmini na kukubali maoni tofauti? Tazama mjadala mzima.