217 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 9 Nov 2026
13:27
Prof. Peter Kagwanja azungumzia juhudi za kujenga upinzani wenye umoja na mshikamano kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027. Je, viongozi wa upinzani wanaweza kuweka tofauti zao kando na kuungana kwa lengo moja?