98 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 9 Nov 2026
40:00
Dr. Pande anawashauri vijana umuhimu wa kujituma, kujenga mahusiano ya kikazi na kutafuta fursa kupitia networking. Anasisitiza kuwa bidii na mtandao mzuri wa watu vinaweza kufungua milango ya ajira na maendeleo ya kibiashara.