50 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 9 Nov 2026
45:15
Dr. Pande azungumzia namna dhana ya kupata kazi kupitia connection inavyoweza kudhoofisha juhudi na uwezo wa mtu kujitafutia ajira kwa kutumia ujuzi na sifa zake. Je, nafasi za kazi zinapaswa kupatikana kwa uwezo au kupitia watu unaowajua?