Mto Athi wafurika na kutatiza shughuli za kawaida

  • | K24 Video
    168 views

    Shughuli za usafiri katika daraja la Mwiki panapofahamika kama maji mazuri, eneo bunge la Kasarani zilitatizika baada ya mto uliopo katika eneo hilo kuvunja kingo zake na kusababisha mafuriko. Idadi kubwa ya wakazi sasa inakadiria hasara huku shughuli za biashara zikilemazwa. maeneo ya Mathare, lindi, Baba Dogo, Mathare kaskazini, githurai na zimmerman yameathirika zaidi.