Mbunge wa madaraka ataka heshima na huruma kwa wakazi wanaofurushwa Nairobi

  • | K24 Video
    68 views

    Mbunge wa madaraka, George Aladwa, ameitaka serikali ya kaunti ya Nairobi kuhakikisha kuwa heshima na huruma vinazingatiwa wakati wa kuwaondoa wakazi wanaoishi katika nyumba zinazomilikiwa na kaunti