
5,407 views
21 Mar 2012
Praise and Worship. Kigocho. Buy at Buy at http://www.kentunes.com/search.php?mode=search&by_title=Y&by_descr=Y&by_sku=Y&search_in_subcategories=Y&including=all&substring=gladys+waihiga&by_fulldescr=Y&by_shortdescr=Y In Kenya, SMS the code NGOMA140011 to 4525 to download the song to your phone. " Hezekiah became very sick. Isaiah told him to prepare his household and get ready to die. But Hezekiah prayed, beseeching God to be merciful and remember all the good he had done. Before Isaiah left the king's house, God told Isaiah to tell Hezekiah that his prayer had been heard and his life would be extended 15 years. Hezekiah was healed. " Lyrics to the song (Language - Swahili): NIMKIMBILIE NANI? 1. Mateso na chuki yamenitosha Ungovi na maneno pia yamenitosha Mambo ya dunia yamenitosha Bila wewe Bwana siwezi tena Bila wewe Bwana siwezi tena. Chorus Nimkimbilie nani? ila wewe Bwana Yesu ndiye ngao tegemeo langu Maishani mwangu sitaona haya Ukiwa nami Bwana sitaona haya Ukiwa nami Bwana sitaona haya. 2. Kama Hezekiah aliamini Ukambariki kwa imani yake Kamwongweza siku za maisha yake Utukufu ni wako upewe sifa Utukufu ni wako upewe sifa. 3. Ninapombarikiwa washikwa na wivu Rafiki mpendwa wanipangia njama Ili nifilisike waniangamiza Fahamu Bwana Yesu ndiye amenipa Fahamu Bwana Yesu ndiye amenipa. 4. Walinitesa sana wakanicheka Wakaniangamiza adui zangu Wote marafiki wakanitoroka Mungu mwenye huruma amenipa nguvu Mungu mwenye huruma amenipa nguvu.